Magari yaliyowekwa mfumo wa gesi asilia(CNG) kutoka Japan yana changamoto yoyote kuyatumia hapa mjini?

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Dizeli oyee,

Katika kupambana na bei ya petroli kwenye pitapita nimeona gari zinauzwa zikiwa tayari na mfumo CNG kutoka Japan japo nyingi zinaonekana zinatumika kwa wingi na waitaliano, hizi haziwekwi mtungi ndani, nafikiri unakaa sehemu iliyotakiwa kukaa tank la mafuta.

Zina changamoto zozote kutumika mjini Darisalama?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…