Magari yanauzwa bei cheeeee!!

yapo Mikocheni Opp. Spoppers Plaza.

Toa details za kueleweka bana, utatuvutaje sie wa Kibaha kuja huko pasipo kuelewa hayo ni magari gani, hizo bei chee ni zipi?..na nani tuwasiliane nae!!
 
Toa details za kueleweka bana, utatuvutaje sie wa Kibaha kuja huko pasipo kuelewa hayo ni magari gani, hizo bei chee ni zipi?..na nani tuwasiliane nae!!

Asisahau Picha..
 
yapo Mikocheni Opp. Spoppers Plaza.
Asante kwa ujumbe mzuri japo uko jumla mno. Waweza kueleze kidogo zaidi ili tujue ni makubwa au madogo, ni ya abiria au mizigo bei chee ni bei gani hiyo nakadhalika.
Asante sana ndugu.
 
yapo Mikocheni Opp. Spoppers Plaza.

tupe habari kamili mkuu....sisi tuliopo Yaeda tutavutiwaje kuja kununua....mbona unafanya biashara ya mbuzi aliyeko kwenye gunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…