Habari Wakuuu. Hivi karibuni nimeshuhudia magari makubwa kwa madogo yakiwa yamebafirishiwa mfumo wa engine badala ya kutumia diesel/ petrol na kifungiwa mtungi/mitungi ya gas. Swali langu naomba kujua faida na hasara zake na ushauri kwa ujumla. Ili panapo majaaliwa na mm nikishawishika nibadirishe hali ni tete ya uchumi tunatafuta palipo na unafuu.
View attachment 1745016