Magari yenye muundo wa IST na Harrier nyeusi yamekuwa mengi sana jijini Dar

kapuchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
268
Reaction score
163
Wadau sijui mmwliona hili yaani jijini Dar Magari ya aina ya IST na HARRIER BLACK yamekuwa mengi sana jijini Dar..we chunguza utashangaa..cijui kuna nini
 
Tuko uchumi wa kati mkuu nawewe agiza lako tuchangie uchumi kupitia sheli
 
Aisee wakati huo watu ata baiskeli hatuna
 
Wadau sijui mmwliona hili yaani jijini Dar Magari ya aina ya IST na HARRIER BLACK yamekuwa mengi sana jijini Dar..we chunguza utashangaa..cijui kuna nini
Weka roads BMW ,Benz,Vogue , Lamborghini zako kila Aina Kama Mia Mia kidogo u neutralize.
Naona kazi yako kuangalia wenzako Wana Nini
 
Asilimia kubwa hizo zinafanywa usafiri wa uber mkuu (IST). Watu skuizi hawapandi sana taxi na bodaboda..

Sema saiv ni gari za taifa zimekua nyingi sana na watu wengi wanaanzia maisha.
 
ni kweli ni nyingi kama ilivokuwa enzi ya teza,haipiti siku hujaona Harrier nyeusi 5
 
Back
Top Bottom