Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Hivi kwa nini lazima kulipia au kusajili namba upya kama gari lenye ZNZ likishaingia Dar baada ya Miezi 6?
Mbona suala hili halilalmikiwi?
Zanzibar ni Tanzania lakini kwa nini serikali yetu inatuibia mchana kweupe
labda mie nimezidi kulalama lakini huuu naona ni wizi wa mchana sijui wenzangu mnasemaje?

Hli linaeleweka na huko visiwani wakiwa na Vikao yao vya Baraza la Wilaya(BLW) husemewa, lakini nani atawasikiliza si unajua kiburi cha CCM.
Cha kujiuliza ni jee magari yaliyona na namba za TZ yanalipishwa tena ushuru yakienda Znz, anayejua atueleze kabla ya kulalamika tu.
Si hilo tu, nakumbuka kisa kimoja cha mama mmoja daktari aliyekuwa mfanyakazi wa Wizara ya afya Zanzibar, ana gari lake alilokuwa akilitumia Zanzibar na lilikuwa na exemption ya ushuru kwa asilimia 99 (custom duties) na ililipiwa asilimi 1 ya ushuru na asilimia 20 ya VAT kama inavyoruhusiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, malipo yote yalifanyika Zanzibar lakini hayakulipwa kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, bali yalilipwa kwa Tanzania Revenue Authority (Zanzibar), chombo kinachokubalika ki-Muungano. Cha kushangaza, alipohamia Dar. ilibidi TRA hao hao wamwambie kuwa hawatambui exemptions za Zanzibar na inabidi akitaka kuitumia gari huku (Bara) ailipie ushuru uliokwisha samehewa Zanzibar. Na hakuwa na njia ila kulilipia hiyo 99% iliyokuwa exempted na walikataa hata kuifanyia depreciation wakati gari ilikuwa imeshatumika zaidi ya mwaka kabla ya kuhamishiwa bara.
Sasa maswali yanakuja, TRA moja inasheria za Zanzibar na Tanganyika?
Labda Kikwete na Amani Karume ndio wanaojuwa majibu?
Hata sijuwi nchi hii wanaiongozaje.
Unaweza kuwa na hoja nzuri, lakini hii ya Baraza la Wilaya ni kipimo tosha jinsi gani hoja yako idhauriweHli linaeleweka na huko visiwani wakiwa na Vikao yao vya Baraza la Wilaya(BLW) husemewa, lakini nani atawasikiliza si unajua kiburi cha CCM.
Cha kujiuliza ni jee magari yaliyona na namba za TZ yanalipishwa tena ushuru yakienda Znz, anayejua atueleze kabla ya kulalamika tu.
Acha kumtisha mwenzio, kweni wewe hujui kuwa population ya Zanzibar ni sawa na Wilaya ya Kondoa?Unaweza kuwa na hoja nzuri, lakini hii ya Baraza la Wilaya ni kipimo tosha jinsi gani hoja yako idhauriwe
kondoa is too big to compare with! What about "SOWETO" Ooooh!!! sorry MANZESE"........!?Acha kumtisha mwenzio, kweni wewe hujui kuwa population ya Zanzibar ni sawa na Wilaya ya Kondoa?
kondoa is too big to compare with! What about "SOWETO" Ooooh!!! sorry MANZESE"........!?

wengine wana visa vya kanisa, hivi kwa zanzibar watu wake kidogo ishakuwa wilaya jee tanzania nzima watu wake sawa na state ya new york isiitwe nchi? huu ni uzuzu zanzibar haiwezi kufananishwa na mkoa wowote seuze wilaya ni nchi iliokuwa na kila chake na kuamua kuingia kwenye muungano kwa ridhaa na tukaamua kubakisha nusu ya nguvu zetu.
tena na ukome mwana hizaya weee uso adabu