Unahitaji gauni la harusi..High classic na bei rahisi kabisa? Tunayo karibu sana. Tupo Arusha ila mikoani huduma yetu itakufikia. Page yetu ya Fb Emmanuel bridal shop, pia East Africa wedding dresses supplies. Karibu
Naomba namba ya huyo dada (kiding)...ni mazuri, ungeweka hapahapa kwenye uzi Arusha mpo wapi ingesaidia watu kuwafikia, na bei ina-range ngapi mpaka ngapi?
Hi sorry for the late reply..whaataap tupo kwenye +4474692528166... ndiyo pia hiyo page yetu @ heaven S.
Ipo Facebook kwa East Africa Wedding dresses supplies..au check Julieth Ivanov utatupata.. werrason tuna jipanga kuingia Arusha mjini...tupo usa-river Plaza kwa sasa..