INAUZWA Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa

INAUZWA Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa

pdozen_nation

Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
50
Reaction score
120
Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa
0685141035

2f0cd439-62b8-431d-8f75-1ea3e69f9558.jpg

7cdfbff3-752d-41e6-9c29-7326c81d489b.jpg

f6addb6c-8a34-450e-937e-bf627c7f5b04.jpg
 
Lipa Hilo la pink umchukue na mvaaji mwenyewe,, nimewaza tu Ila ukiweka na picha yako itakua poa ili nikuchagulie mnayeendana😃
Haa Haa Na Mvaaji Moja Kwa Moja
Sasa Kwakuwa Umesema Hivyo Acha Nivunje Kikoba
 
Wanawake wengi wa siku hizi wanaofunga ndoa na kuvaa hayo magauni wana "matumbo ya uzazi" aka kitambi cha supu na ndizi.
 
Toba? Madam unaolewa?

Sasa JLW likirudi utatuletea ya chumbani kwenu?

Nasihi hiyo sendoff ihairishwe kwa sasa. Mpaka wakati mwingine tena.
Jamani, mie mbona bado sana kiumri?
Nimempata mzee mwenzangu tumalizie nae uzee
 
Wanawake wengi wa siku hizi wanaofunga ndoa na kuvaa hayo magauni wana "matumbo ya uzazi" aka kitambi cha supu na ndizi.
Sema Wanakuwa Wameshiba Kabisa Mpaka Unaweza Fikiria Wazazi
Tanzania Mpya Watu Wana Afya Yote
 
Back
Top Bottom