INAUZWA Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa

Lipa Hilo la pink umchukue na mvaaji mwenyewe,, nimewaza tu Ila ukiweka na picha yako itakua poa ili nikuchagulie mnayeendanaπŸ˜ƒ
Haa Haa Na Mvaaji Moja Kwa Moja
Sasa Kwakuwa Umesema Hivyo Acha Nivunje Kikoba
 
Wanawake wengi wa siku hizi wanaofunga ndoa na kuvaa hayo magauni wana "matumbo ya uzazi" aka kitambi cha supu na ndizi.
 
Toba? Madam unaolewa?

Sasa JLW likirudi utatuletea ya chumbani kwenu?

Nasihi hiyo sendoff ihairishwe kwa sasa. Mpaka wakati mwingine tena.
Jamani, mie mbona bado sana kiumri?
Nimempata mzee mwenzangu tumalizie nae uzee
 
Wanawake wengi wa siku hizi wanaofunga ndoa na kuvaa hayo magauni wana "matumbo ya uzazi" aka kitambi cha supu na ndizi.
Sema Wanakuwa Wameshiba Kabisa Mpaka Unaweza Fikiria Wazazi
Tanzania Mpya Watu Wana Afya Yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…