Magazeti ya Kenya yanahaha: Tanzania and Uganda under UN probe over N. Korea trade ties

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Tanzania and Uganda are among several African countries under UN investigation for violations of sanctions against North Korea, a UN panel of experts has said.

Their September 9 report was issued two days prior to the UN Security Council's unanimous adoption of a tough new round of sanctions aimed at coercing North Korea into negotiations on its nuclear arsenal.

Tanzania and Uganda in UN's cross hairs

Naona hii vita ya kiuchumi kati ya nchi zetu imepamba moto. Naona hawa wakenya wameamua kujidunga sasa na kuamua kuanza kupambana na nchi zetu (Tanzania na Uganda).
Hii inatokana na kukosa deal la momba la mafuta. Wameamua kuanza propaganda za kitoto.

Nadhani wameamua kuandika makala hiyo kutokana na thread hii ya JF
Kenya's military might

Nimegundua sasa ndugu zetu wa kenya wanachukua taarifa humu kwenye jukwaa. Nadhani tunawaumiza sana tunapojibu mapigo kwa nguvu zote kwenye mitandao.

Ndugu zangu wa TZ tupo kwenye mapambano. Sisi tuta deal nao kwenye mitandao. Nikiwepo mimi Major.
 
Kazi tunayo mwaka huu
 
unavodhani ama kufikiria sio lazma iwe ni ukweli...pengine una babaika tu...
 
Tanzania si nchi Huru jamani? Kufanya biashara nchi nyingine lazima tutarifu kwa nchi nyingine mbona ni ukoloni tena jamani.
 
Kamwe mwafrika mwenye akili timamu hawezi kushabikia ubeberu wa Marekani na Ulaya.Ni wapumbavu pekee wanaweza kuwakubali hao mchwa wa rangi ya pink.
 
Report imetolewa na UNSC wewe unasema Kenya wanaleta vita vya kiuchumi....vinahusianaje hapo?,kwanza hilo si tamko la Serikali ya Kenya,inakuwaje ni vita?

 
Mtahaha mno kutafuta mchawi lakini werevu wanajua ukweli kuwa matatizo ya nchi hii yamesababishwa na ccm. Hii vita ya uchumi mnayohubiri ni danganya toto.
 
Kamwe mwafrika mwenye akili timamu hawezi kushabikia ubeberu wa Marekani na Ulaya.Ni wapumbavu pekee wanaweza kuwakubali hao mchwa wa rangi ya pink.
Sawa

Je misaada yao tuendelee kuipokea au tupambane na hali yetu ?

Upendo ni tiba.
 
Kuna watanzania wengine hapa JF wako very insecure. Wanaiona Tz kupitia macho ya Kenya....

Ungefanya google kidogo kabla kuja hapa na kunyosha kidole ungeona mwenyewe kutoka magazeti ya nchi za nje ma pia ripoti yenyewe ya UN kwamba ni nchi nyingi ziko under investigation na hapa EA Tanzania ni mmoja wao, tena si mara ya kwanza, 2014 ma agent 24 wa North Korea wanasemekana walikuja tz kufanya repair iwa ndege zenu za J-7
 
Kamwe mwafrika mwenye akili timamu hawezi kushabikia ubeberu wa Marekani na Ulaya.Ni wapumbavu pekee wanaweza kuwakubali hao mchwa wa rangi ya pink.
Kwanini mnapenda kupindisha mada na kupenda kuisifia sana Marekani wakati mwengine bila sababu za msingi?, vikwazo vilivyowekewa North Korea viliwekwa na UN na sisi Tanzania tukiwemo, kama tunachunguzwa basi tunachunguzwa na UN kwa kuvunja mkataba tuliokubaliana wote, kumbuka UN haiwezi kupitisha jambo lolote bila zile nchi tano zenye kura ya veto kukubali, akiwemo China ambaye ni rafiki wa North Korea na ni rafiki yetu, sasa kwa nini kila kitu kimlalamikia USA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe huwa unaamini kwenye hizi sijui UN, WB, ama IMF? Hizo ni taasisi za USA na Ulaya.

Zipo kwa ajili ya maslai yao na zinakuwa toothless pindi zinapokinzana na maslai yao.

Ndio maana UN walikataa uvamizi wa Iraq lakini marekani akavamia tu.
 
Hivi wewe huwa unaamini kwenye hizi sijui UN, WB, ama IMF? Hizo ni taasisi za USA na Ulaya.

Zipo kwa ajili ya maslai yao na zinakuwa toothless pindi zinapokinzana na maslai yao.

Ndio maana UN walikataa uvamizi wa Iraq lakini marekani akavamia tu.
Mbona unashindwa kujibu hoja, kwani ni Marekani pekee ambayo imekuwa ikikinzana na UN, pale kwenye maslahi ya kidunia kama hili la North Korea, ndiyo ni lazima kuwe na msimamo wa kidunia, ila kama ni maslahi ya nchi moja moja au kundi la nchi kama vile NATO, au EU au hata EAC, sio lazima UN ishirikishwe, Marekani walihisi kwamba vitisho vya IRAQ vilihusu dunia nzima, ndiyo akaamua kuishirikisha UN, lakini Urusi na China walipopinga, akalitoa kwenye UN akaliingiza NATO, ambao walikubaliana kwa kuwa waliona ugaidi ni tishio zaidi kwa USA na ulaya kuliko kwa china na Urusi, kwani Urusi alipoamua kuemega jimbo la Cremia aliomba ruhusa ya UN?, au kwa sasa Urusi na Marekani huko Syria wameomba UN, Saudia Arabia na Iran huko Yemen wameomba UN?, China kuendeleza biashara na North Korea kinyume na maazimia ya UN unalizungumziaje?

Sio kila kitu uone Marekani ina mkono wake, mengine wala Marekani haihusiki ni sisi waafrika kuiona Marekani kama vile ni Mungu, kifupi waafrika tunaogopa kivuli cha Marekani kuliko ilivyo kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…