Magazeti ya Kijapani yana mbegu ukitupa linakuwa mmea

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
π— π—”π—šπ—”π—­π—˜π—§π—œ 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—π—”π—£π—”π—‘π—œ 𝗬𝗔𝗑𝗔 π— π—•π—˜π—šπ—¨ π—¨π—žπ—œπ—§π—¨π—£π—” π—Ÿπ—œπ—‘π—”π—žπ—¨π—” π— π— π—˜π—”



Inawezekana umeshangaa naam Japan ili kuondokana na uchafuzi wa mazingira waliunda magazeti ambayo yana mbegu ukifanikiwa kusoma na kulitupa basi linaota na kua mmea.



Gazeti hilo linaitwa "Gazeti la kijani" kupitia mchapishaji Maarufu wa gazeti la Mainichi Shimbusha gazeti hilo huweza kutoa suluhisho la kipekee kwani utakua na uwezo wa kulipanda gazeti na kuota mmea wakati umemaliza kulisoma.



Gazeti hilo la Green Newspaper linaweza kuoza kwa asilimia 100 na kuwa mmea, kila ukurasa ulikua na mbegu ambazo zinaweza kukua na kuwa mmea au maua.
 
Jamaa wana akili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…