Magazeti ya Rostam Aziz (RA)

Magazeti ya Rostam Aziz (RA)

coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,264
Reaction score
2,676
Eti wadau magazeti ya Rostam Aziz na yale anayoyafadhili ni yapi?
 
Ongezea the African, The African on Saturday, the Weekend Africa, Bingwa anayofadhili ni pamoja na lile la Taifa sijiu Tanzania ama Taifa letu lile analosimamia mjikombi Prince Bagenda, na magati yote ya Al, al.... yaliyokua yanatoa picha za mafuvu ya wanyarwanda wakati wa uchaguzi, Hayo yanasimamiwa na C.E.O wake mpya Hussein Bashe
 
Pia msisahau Habari Leo na Daily News!!
 
Bashe yupo Habari???... Thatz a hundred yrs of Cinema...
Kwani leo? Si ndio CEO wake? nafasiya zamani ya Rosemary Mwakitwange.Kabla ya kuwa CEO alikuwa Mkuu wa Masoko wahiyo New Habari Co (2006)
 
RAI,MTANZANIA,DIMBA,THE EAST AFRICAN,-ofis zake zipo sinza kijiweni,kampuni inaitwa NEW HABARI HOUSE

Kampuni inaitwa NEW HABARI CORPORATION, Compund inayo-house kampuni ndiyo inaitwa NEW HABARI HOUSE
 
aisee ni hatari kama ana mkono wake kwenye magazeti mengi hivyo.!
 
Mhariri wake mkuu alikuwa Muhingo Rweyemamu lakini sasa jina lake limeondolewa lwenye bodi ya uhariri
 
Eti wadau magazeti ya Rostam Aziz na yale anayoyafadhili ni yapi?

Rostam Azizi ni majority shareholder wa Mwanachi, aliinyamazisha issue ya Richmond, kutishia waandishi na kutumia ubabe wa wana mtandao.
 
aisee ni hatari kama ana mkono wake kwenye magazeti mengi hivyo.!
Pia nyundo, tazama na the Express. Mi sioni tatizo hata kama atamiliki na kuyafadhili Mwanahalisi, Raia mwema, Nipashe na kulikoni
 
Back
Top Bottom