kweli mnafanya biashara lakini MNABOA,kwani hamna kingine cha kuandika zaidi ya 'kanumba'?.Mbaya zaidi mnatumia story za kutunga, mkijua wateja wenu (wanawake) vichwa maji.BORA mtunge stori kuhusu tulio hai, kuliko marehem asiyeweza kukanusha ujinga wenu. ACHENi MAREheMU APUMZIKE KWA AMANI SASA!

Mkuu this is very low. Yaani ni udhalilishaji wa dada zetu. Hebu watake radhi mkuu
pumbavu zako wewe huna mama wala dada,heshima kwa wanawake tafadhali 2cdhalauliane .umeniudhi kwa kweli hivi mama yako mwanaume?ifike mahali utambue thamani ya wanawake cio kuwashusha hadhi kila cku.shame on you..ptuuuuuuuuuuuuu.kweli mnafanya biashara lakini MNABOA,kwani hamna kingine cha kuandika zaidi ya 'kanumba'?.Mbaya zaidi mnatumia story za kutunga, mkijua wateja wenu (wanawake) vichwa maji.BORA mtunge stori kuhusu tulio hai, kuliko marehem asiyeweza kukanusha ujinga wenu. ACHENi MAREheMU APUMZIKE KWA SASA!
wewe ndo mdaku namba moja.hivi utajuaje kua gazeti limeandikwa habari fulan kama cio mfuatiliaji?kweli wewe ndo likichwa maji.Kwani uongo,akina dada ndo wateja wao,kama unavutiwa na gazeti lenye heading kama hizi, utakuwa kichwa maji, 'Hii ndo idadi ya ch**pi za wema' au 'kanumba aonekana tabata akinunua vocha'nk wakati unajua kanumba kafa
wewe ndo mdaku namba moja.hivi utajuaje kua gazeti limeandikwa habari fulan kama cio mfuatiliaji?kweli wewe ndo likichwa maji.
wewe ndo mdaku namba moja.hivi utajuaje kua gazeti limeandikwa habari fulan kama cio mfuatiliaji?kweli wewe ndo likichwa maji.
Naunga mkono hoja, kuna ndugu yangu alikuwa hakosi kununuwa haya magazeti kuna siku nikamtolea uvivu nikamueleza ukikaa na watu makini hayo magazeti yako uyafiche yatakuonesha wewe ni mtu wa viwango gani, ila alichonijibu akaniambi yeye akirudi nyumbani bila hayo magazeti ni ugomvi kwa mke wake.Kwani uongo,akina dada ndo wateja wao,kama unavutiwa na gazeti lenye heading kama hizi, utakuwa kichwa maji, 'Hii ndo idadi ya ch**pi za wema' au 'kanumba aonekana tabata akinunua vocha'nk wakati unajua kanumba kafa
Naunga mkono hoja, kuna ndugu yangu alikuwa hakosi kununuwa haya magazeti kuna siku nikamtolea uvivu nikamueleza ukikaa na watu makini hayo magazeti yako uyafiche yatakuonesha wewe ni mtu wa viwango gani, ila alichonijibu akaniambi yeye akirudi nyumbani bila hayo magazeti ni ugomvi kwa mke wake.