Mkuu hongera kwa kufanya research kwanza sababu hio ni hatua ya kwanza.., Mkuu income ya magazeti huwa inatoka kwenye matangazo (unless gazeti lako utakuwa unliuza zaidi ya 15,000/=) hauwezi ku-break even let alone kumake profit kwa kutegemea mapato ya mauzo pekee.
Kwahiyo mkuu jambo la maana sana ni kuhakikisha kuna wadau (makampuni na biashara za watu) watakaokupa matangazo ukishawapata hao then anza kuwaza wazo la kufanya printing
Issue ya kupata 4m sio ngumu, issue ni kwamba ukishatoa issue ya kwanza utapata wapi pesa za kutoa issue ya pili?, thats why nakwambia matangazo (adverts) is the life of your magazine kama huwezi kupata matangazo then huwezi kufanikiwa..., alafu this is a catch-22 sababu mtu hawezi kukupa matangazo kama audience yako sio kubwa...