Magenius wataona tofauti: Unaona nini

Kuogopeshana nikfanya shopping yangu sipendi. Kuna mtu upande wa kulia anatisha.
 
Hiv kuna ukweli kua kuna vitu havionekan kwa macho ila kamera huwez kuvioa?
 
Hiv kuna ukweli kua kuna vitu havionekan kwa macho ila kamera huwez kuvioa?
hahaha hapana hiyo ni sanaa, huyo mtu amejichora kulingana na mazingira yanayomzunguka, ndo maana unamuona huyo dada hapo anacheka..

wenzetu sanaa iko mbali sana
 
ma genious wataona au wenye macho yanayoona vizuri wataona????nimeona lakini sijaona kabisa akili zangu za kijinias kutumika katika kuona huko!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…