🤣🤣🤣Mfungwa nipo huku Tanzania waambie waje wanichukue.
Bila shaka nasi hapa nchini kwetu Tanzania ipo siku uhalifu utapungua magèreza tunazigeuza vyuo vya mafunzo.Rate ya uharifu inapungua sana,moja kati ya dalili kubwa ya maendeleo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha uharifu moja wapo ni njaa,sera mbovu za serikari nk saa haya hadi tuyamalize itachukua mda sana,vinginevyo yatazidi kujengwa magereza mapya.Bila shaka nasi hapa nchini kwetu Tanzania ipo siku uhalifu utapungua magèreza tunazigeuza vyuo vya mafunzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...Kama unajivutia bangi hadharani .... Papuchi za kuchagua barabarani...unadhani Nani atafungwa?[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hapa kwetu itakuja kutokea hili likawezekana pia?...huko nasoma wanageuza magereza kuwa makazi...
https://www.weforum.org/agenda/2018/02/netherlands-prisons-now-homes-for-refugees/
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi kwao inaruhusiwa,watu wavuta kama fegi tu!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] ni mabingwa wa kubambikia watu kesi.Tuwaazime jeshi letu la polisi kwa mwezi mmoja tu then waje watupe mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha maana madogo ndio wanajaza hizi sero¿Inaman kwao huko hakuna kabsa dereva bodaboda?...[emoji12][emoji12]jus kiddin