Uchaguzi 2020 Magesa Mulongo atangaza nia Kibamba

Uchaguzi 2020 Magesa Mulongo atangaza nia Kibamba

East African

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
704
Reaction score
993
Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi FM Leo tarehe 8 July 2020.

Aliyekuwa mkuu wa mikoa ya Arusha, Mwanza na Mara ametangaza nia ya kuwania Ubunge jimbo la Kibamba ambapo yeye kwa sasa anaishi jimbo hilo eneo la Malamba mawili.

Pia amekiri kufanya kosa lililosababisha kutumbuliwa na kuwaonya vijana wengine wasirudie makosa aliyofanya yeye, Amesema Rais anajua alikosea nn lakini na yeye pia anafahamu alichokosea lakini hakuweza kubainisha kosa lenyewe.

Amesema jambo zuri ni kuomba msamaha pale unapoona umekosea.

Mulongo.jpg
 
East African,

Jamaa Anafaa Sana. Naamini baada ya kuomba msamaha, huu utakuwa wakati wake wakuitendea haki elimu yake (ana Masters Degree Kali sana).
 
Back
Top Bottom