East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 993
Duh kaibuka
Ova
Anasema ameomba msamaha kwa barua labda atasamehewa.Haha huyo muhuni jina lake linakatwa kabla hata kikao hakijaanza.
Haha huyo muhuni jina lake linakatwa kabla hata kikao hakijaanza.
Posho za vikao+ Kiinua mgoņgo milioni 200 baada ya miaka 5Kila mtu anataka kuwa Mbunge! Kunani Mjengoni?
Jamaa Anafaa Sana. Naamini baada ya kuomba msamaha, huu utakuwa wakati wake wakuitendea haki elimu yake (ana Masters Degree Kali sana).
Watu system wamevamia siasa, ana agenda gani ya Kibabamba sasa???Mmmh huyo mlevi tu.
Garasa tu Hilo, hiyo Masters ni makaratasi tu.East African,
Jamaa Anafaa Sana. Naamini baada ya kuomba msamaha, huu utakuwa wakati wake wakuitendea haki elimu yake (ana Masters Degree Kali sana).
HAHAHAHAHAAHHAHKumekucha!!! Hiyo masters degree kali ikoje/ya nini?[emoji38]
Posho za vikao+ Kiinua mgoņgo milioni 200 baada ya miaka 5
One Nation. Two SystemsPosho za vikao+ Kiinua mgoņgo milioni 200 baada ya miaka 5