NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Garasa tu Hilo, hiyo Masters ni makaratasi tu.
Kuna upuuzi flani huko CCMMagesa kawaumbua wanaomshambulia Rais kwa kutengua.wanaotenguliwa wanakuwa wamefanya makosa. ila kwa kuwa mapoyoyo hawafahamu kilichomo ndani wanabaki wamlaumu Rais kwa kutengua.
Hiyo MS kali Ina msaada gani kwa wanyonge ndugu? Hiyo ni ya kwake na familia yake.East African,
Jamaa Anafaa Sana. Naamini baada ya kuomba msamaha, huu utakuwa wakati wake wakuitendea haki elimu yake (ana Masters Degree Kali sana).
Ndo Akita inayo Lipa sanaHuyu naye angepumzika tu hana mvuto.
sawa kikubwa Mwenyekiti wake anajitahidi kuwaweka kwenye mstari lkn watanzania tunahulka ya kutokukubali kubadilika.Kuna upuuzi flani huko CCM
Duh kaibuka
Ova
Nimeshangaa kuna uzi upo humu kumhusu huyu jamaa kwamba alikufaHuyu jamaa si alikufaga huyu? Jf sihami ng'o.
Ile thread ifufuliwe tujue alizikwa wapi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Msomi kiwango cha Masters Degree...CV yake tafadhali.....
basi utakuwa mzimu wake,Nimeshangaa kuna uzi upo humu kumhusu huyu jamaa kwamba alikufa
Full detailed CV.Msomi kiwango cha Masters Degree...
Kumbe ni fursa kwa madai eti wanatatua kero za wananchi, lakini moyoni mwao wametawaliwa na tamaa za maslahi binafsi kwa mgongo wa wananchi.Posho za vikao+ Kiinua mgoņgo milioni 200 baada ya miaka 5