Elections 2015 Magessa Mulongo Atampokeaje Lowassa? Yetu macho

Elections 2015 Magessa Mulongo Atampokeaje Lowassa? Yetu macho

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Anafahamika kwa kufanya kazi kwa kujikweza na kutafuta headlines. Ni kada wa CCM anayependa matumizi ya nguvu na siasa za kutumia polisi. Nilimuona kwenye picha huko upareni mazishi ya kisumo akimkazia macho JK wakati anasalimiana na EL-Nino-Je atawafanya nini UKAWA na EL-NINO? Kabla ya kuwa Arusha alikuwa mkuu wa wilaya Bagamoyo huko ni polisi na yeye watu walipigwa na kuwekwa ndani hadi viongozi wa serekali wa kijiji walitiwa ndani maeneo ya Mapinga.
 
Lema akamsalimie Magesa.......naamini Magesa bado anakumbuka shuhuli pevu ya kamanda.
 
UKAWA waweke tahadhari kubwa maana uhamisho wa Magessa kutoka Arusha unaweza kuwa ulilenga kipindi hiki
 
Anavobetuaga mdomo kama de.m.u wangu flani
 
Back
Top Bottom