EDIGAR JO
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 422
- 444
MAGEUZI
#IDADI YA LAINI ZA SIMU
#MIUNDOMBINU YA KUWASILIANA.
Kwasababu kama barabara zetu za Tanzania ni moja baina ya wapingani wa wili, kwanini na njia za mitandao ya simu isiwe ni moja?
Mfano, sidhani kama kuna hoja za mashiko kwa kuwepo kwa minara nchi nzima ya mitandao tofauti tofauti.N a hata kuwepo kwa kadi za laini nyingi sana na wakati simu nyingi ni nano "laini moja".
Nadhani Tanzania inatakiwa tuwe wavumbuzi na waunganishaji wa wafanya biashara wa kimataifa lakini jukumu hili lifanyike na vijana wetu.
Kutokana na hoja hizi zifuatazo mabadiliko muhimu
1. Kuwepo kwa laini nyingi za mitandao tofauti na wakati tunaweza kutengeneza laini moja ikachukua majukumu ya laini zote hii inakuwa ni changamoto.
Mfano, Tigo, Halotel, Airtel na Vodacom wanaweza kufanya kazi katika laini moja yaan inaamlishwa ipokee mtandao klutoka kampuni gani kulingana na usajili wa mteja.
2. Kuwepo kwa minara tofauti tofauti kila sehemu huku kuna uhaba wa huduma za kimtandao inakuwa haina maaana kwa maendeleo ya Taifa letu. Ifanyike mpango wa kuyaunganisha makampuni binafsi ili watjenge minara mikubwa kila sehemu na ushindani wao uwe katika kuwahudumia wateja. Kutokana na hilo litaiwezesha Tanzania kupunguza adhari za kutokuwepo kwa mtandao katika maeneo ya mbali Mfano vijijini.
Kupitia hiyo itaifanya nchi yetu iweze kuwa na ufanisi na hata kuwa na uthibiti mzuri wa miundombinu .

Upvote
1