Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tapeli mkubwa wewe, Samia ameikuta inajengwa na aliyeanza nayo hakushindwa bali alifariki, mjenzi ni wananchi wa Tanzania akiwemo Samia na wewe.MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SGR.
Wananchi wamefarijika kwa kiasi kikubwa sana ambapo treni hii ya kisasa inakwenda kurahisisha Usafiri kutoka Dar-Morogoro- Dodoma.
Hakika Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanikisha kwa kiasi kikubwa sana.
#Kaziiendelee
View attachment 3016909
🤣🤣Mbinu gani mnatumia kupata connection ya hizo 7000/-?
Ni matapeli kama alivyo Lucas, hawana tofauti na wale wa ile hela tuma kwenye namba hii.
Ukipata ulizia na tofauti ya mudaTofauti ya nauli ya bus na hiyo train ni kiasi gani?
Hivi karibuni nimesafiri na SGR Moro-Dar. Ni normal train inasimama vituo vyote. Data zinajionyesha zenyewe hapa chini. EXACT departure and arrival times!!!Ukipata ulizia na tofauti ya muda
Weka na ile utakayo safiri na basi, kuna ya express piaHivi karibuni nimesafiri na SGR Moro-Dar. Ni normal train inasimama vituo vyote. Data zinajionyesha zenyewe hapa chini. EXACT departure and arrival times!!!
View attachment 3049857