Mageuzi makubwa kwenye SGR

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SGR.

Wananchi wamefarijika kwa kiasi kikubwa sana ambapo treni hii ya kisasa inakwenda kurahisisha Usafiri kutoka Dar-Morogoro- Dodoma.

Hakika Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanikisha kwa kiasi kikubwa sana.

#Kaziiendelee

Your browser is not able to display this video.
 
Tofauti ya nauli ya bus na hiyo train ni kiasi gani?
 
Mbinu gani mnatumia kupata connection ya hizo 7000/-?
 
Tapeli mkubwa wewe, Samia ameikuta inajengwa na aliyeanza nayo hakushindwa bali alifariki, mjenzi ni wananchi wa Tanzania akiwemo Samia na wewe.
Umesahau kumuwekea namba yako ya simu na mtaa unakopatikana.
 
Ukipata ulizia na tofauti ya muda
Hivi karibuni nimesafiri na SGR Moro-Dar. Ni normal train inasimama vituo vyote. Data zinajionyesha zenyewe hapa chini. EXACT departure and arrival times!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…