SoC02 Mageuzi thabiti katika kilimo cha umwagiliaji nchini

Stories of Change - 2022 Competition

Dastan kisaka

Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
7
Reaction score
19
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hili la Tanzania.Sekta ya kilimo huchangia asilimia sitini katika kutoa ajira kwa vijana.Wizara ya kilimo huchangia asilimia ishirini na tano katika pato la taifa kwa mwaka.

Jitihada zinazofanywa na
serikali ya jamuhuri ya muangano wa Tanzania inayo ongozwa na MHE:SAMIA SULUHU HASSAN chini ya wizara ya kilimo inayo ongozwa na MHE: HUSSEIN BASHE kuboresha sekta ya kilimo nchini imeongezeka japo bado jitihada hizo hazija kidhi maitaji yanayo itajika na watendaji wa wizara ya kilimo.

Ufanisi katika wizara ya kilimo na watendaji wake hasa katika kipindi hichi tunacho kabiliana na changamoto ya mabadiliko ya hali ya hewa nchini umepungua ukilinganisha na miaka ya nyuma iliyo pita. Kutokana na changamoto endelevu zinazo tokea mashambani zimepelekea uzalishaji na ufanisi wa sekta hi ya kilimo kuwa chini ya mahitaji ya watanzania kwa mwaka.Swala hili husababishwa na upungufu wa watendaji ambao ndio wazalishaji na wadau wakubwa wa kilimo.

Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi katika maeneo mengi yame athiri ustawishaji wa mazao na hivyo wakulima wengi kupata mavuno machache ambapo wao hulima kwa kufuata majira na vipindi vya mvua kwa mwaka pia kundi kubwa la wakulima hutumia vifaaa na zana duni kuzalisha na kujinufaisha na faida zitokanzo na kilimo lakini pia mipango na sera vuguvugu ambazo hazina utendaji na uwekezaji mkubwa ambao haumgusi mtendaji wa kilimo kwa asilimia miamoja katika sekta ya kilimo nchini.

Tanzania ni nchi iliyobarikiwa milima,mabonde,ardhi nzuri ambayo inaweza kustawisha nafaka na mazao ya kila aina sambamba na vyanzo imara vya upatikanaji wa maji.

Serikali pamoja na wizara ya kilimo haina budi kutumia,kuwekeza,na kuendeleza vyanzo na rasilimali watu , maziwa,mito, mabonde na ardhi nzuri za kustawisha mazao ambayo uwekezaji wake utakuwa wa gharama nafuu na kupata miundo mbinu itakayo toa huduma imara ya kilimo cha umwagiliaji ili kustawisha mazao kwa muda wa mwaka mzima hivyo kuzalisha nafaka nyingi na nchi kujitosheleza kwa chakula pamoja na kuangazia masoko ndani na nje ya nchi.

KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Mageuzi dhabiti katika kilimo cha umwagiliaji kama fursa ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi.Tunaweza kufanya mageuzi katika kuboresha miundo mbinu ya kilimo cha umwagiliaji nchini sambamba na uendelezwaji wa maeneo tengwa kwaajili ya kilimo ili kuokoa tatizo la upungufu wa watendaji katika wizara ya kilimo,chakula pamoja na bei halisi za gharama za ununuzi na uuzaji wa nafaka hapa nchini ili kuleta mapinduzi ya kilimo chenye tija kwa mkulima kubwa hadi mdogo nchini.

Katika kipindi hichi ambacho chakula kimekuwa kikiuzwa kwa bei ghari na kupelekea gharama za maisha kuongezeka ukilinganisha na hali yenyewe ilivyo.Changamoto kama hizi zina weza kuondolewa kama serikali itaweza kugeuza jicho lake na kuwekeza katika nyanja hii ya kilimo cha umwagiliaji ili kutengeneza chakula cha uhakika katika ghala la taifa.

Hebu tulitazame eneo la bonde la rubana lililoko katika halmashauri ya mji wa bunda mita kadhaa kutokana ukingo wa ziwa Victoria kama mfano halisi wa maeneo mbalimbali ya aina hii nchini ambayo yakiendelezwa yanaweza kuwa chachu ya kukuza maendeleo ya kilimo nchini na hivyo kuongeza pato la tifa.

Eneo hili la bonde la rubana lililoko katika halmashauri ya mji wa bunda mkoa wa Mara limezungukwa na Zaidi ya vijiji vinne ambavyo ni Butakare,Migungani,Balili pamoja na rubana.

Eneo hili limebeba wakulima wadogo wadogo wa mazao ya chakula,matunda na nafaka zingine ambao ndio wenyeji wa vijiji vinavyo zunguka eneo hili la bonde la rubana.

Wakulima wa eneo hili bado wanna kabiliwa na changamoto mbalimbali kama ukosefu wa maji ya kutosha kustawisha mazo yao,uchache wa mavuno pamoja na wanyama waharibifu kam tembo, viboko,na kadhalika licha ya serikali kuonesha juhudi zake kukabiliana na changamoto hizo bado nguvu zaidi ina hitajika.

Miundo mbinu ya umwagiliaji katika eneo hili bado haijaimalika na hivyo wakulima wa eneo hili hulima kwa kufuata majira na vipindi vya mvua kwa mwaka.Umuhimu na uhitaji wa wakulima wa eneo hili kupata miundo mbinu Bora ya umwagiliaji kama kujengewa mabwawa ya kuhifadhia maji pamoja na mifererji itakayo pitisha maji tiririka ili kuwawezesha wakulima hawa kulima kwa kipindi cha mwaka mzima.

LENGO LA KUTAZAMA ENEO LA BONDE LA RUBANA

Lengo na kusudi la kulitazama eneo hili la bonde la rubana kama kiwakilishi muhimu katika kuleta mipango dhabiti kupambanua changamoto endelevu za moja kwa moja kutoka kwa mkulima na kuongeza ufanisi Bora katika wizara ya kilimo hasa katika kutekeleza mapinduzi ya kilimo cha umwagiliaji kama mpango mkakati wa kuimarisha sekta ya kilimo nchini. Aidha kuongeza mtazamo wa taifa katika kuboresha na kuimarisha miundo mbinu ya kilimo cha umwagiliaji kwa mapana Zaidi.

CHANGAMOTO ZINAZO YA KABILI MAENEO TENGWA KWA AJILI YA KILIMO.

Moja kati ya changamoto zinazo ya kabili maeneo ya aina hii nchini ni makazi ya watu kuingiria maeneo haya na hivyo kuongeza hatari kubwa ya maeneo haya kutoweka katika miaka ya baade.Jambo hili linaweza kupelekea ufanisi mdogo na ufinyu wa maeneo ya uzalishaji wa Mali ghafi za kilimo katika siku za baade.

Eneo la bonde la rubana.
limekuwa likipungua uwanda wake wa mashamba kutokana na makazi ya watu kuzidi na hivyo baadhi ya mashamba kuuzwa kama viwanja na watu kuweka makazi yao.lakini pia serikali kushindwa kufanya uendelezwaji wa mashamba kwa muda mrefu Jambo hili limewafanya wakulima wengi kuyatazama maeneo yao kama mzigo na hivyo kutotambua thamani ya mashamba hayo kama fursa adhimu kwa taifa la Tanzania

MATUMIZI YA SHERIA KULINDA MAENEO TENGWA.

Serikali haina budi kutumia kutumia sheria kulinda maeneo tengwa kwaajili ya kilimo kama mabonde mazuri ya kustawisha mazao na nafaka hii itaongeza uwanda mpana wa maeneo ya uzalishaji wa chakula na mazao mengine ya kibiashara katika sekta ya kilimo

HITIMISHO

Nipende kuishukuru serikeli ya jamuhuri ya muangano wa Tanzania pamoja na wizara ya kilimo kwa mikakati na juhudi zake katika kujenga taifa na kufanya mapinduzi ya kilimo chenye tija kwa mkulima mkubwa hadi mdogo.wenu utiifu katika ujenzi wa taifa.MUNGU ibarikai Tanzania,MUNGU ibariki afrika na dunia kwa ujumla.

20220911_081646.jpg
 
Upvote 0

View attachment 2353520
Mimi naitwa Lumola Nimekupigia Kura Naomba na Mimi unipigie Kura kupitia SoC 2022 - Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa
 
Back
Top Bottom