Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #21
Unasema kama kafanya ina maana huna access ya kuthibitisha wakati unatumia internet?Kama kafanya hivyo kweli basi ni mtu wa kupiizwa kabisaaaa.................hatufai watz wa kzazi hiki...............clouds wenyewe wamejaa virus
Hujaitwa, chapa mwendo usidhani muda wote watu wanawaza habari za ngono na mahusiano tu.
...........Atajibeba.Sijui kama Afrodenzi kaiona hii
Tunaongelea vyombo vya habari je ni sahihi Mjengwa kutoweka picha za Tamasha hili? unafahamu kinachoendelea wewe au unadhani tunauza sura hapa? wapenda haki hatuwezi kukaa kimya tukaangalia watu wakitumia pesa zao kunyanyasa wengine, Issue hapa ni kwa nini Mjengwa hajaupload hizi picha za Tamasha la Anti virus wakati hakuhitajika kupeleka mpiga picha pale uwanjani bali zipo humu humu kwenye internet? na nina uhakika anazo.
Nimejenga hoja, ukiweza pangua hoja na ulete hoja na hatuhitaji Viroja.
Yupo humu sasa hivi online na thread yake ya kumpamba Lowasa, Maggid huwa achangii thread za wengine maana yeye humu akija huwa anakuja kikazi zaidi kumpamba yule mtu aliemkusudia siku hiyo.Nadhani kwa kufuata weledi wa uandishi wa habari alipaswa kuvuka mipaka ya ushabiki wa kisiasa na kubalance story. I hope kwa sababu ni member atakuja ajitetee mwenywe ili kubalance pia story za thread hii. Akikaa kimya inaleta maswali zaidi.
Sio Ruge VS Sugu...sema Ruge vs Wasanii wenye akili na waliojitambua. Huyu sugu ni mmoja wa kiongozi wa wasanii hawa.Uhasama huu unatupeleka kubaya, watanzania tushirikiane kuwasuluisha watanzania wenzetu hawa" Mh. Mbilinyi na Ndugu Ruge". Vinginevyo endapo uhasama huu utaendelea kwa mbali naona 'replica' ya matokeo mabaya kabisa kuwahi kutokea ya uhasama wa B.I.G na 2Pac wa Marekani, My Living God forbid.
Hujaitwa, chapa mwendo usidhani muda wote watu wanawaza habari za ngono na mahusiano tu.
Wewe sio mgeni hapa JF kila jukwaa lina swaga zake, uwezi kupeleka mambo ya siasa MMU vivyo hivyo otherwise.sijapenda jisni ulivyomjibu mrembo wangu hapa hata kama ni ugumu naubandidu sio ki hivi
Wote, Michuzi na Mjengwa wametoa picha za matamasha yote mawili. Isitoshe, saa zingine kwenye mambo ya blogs ni nani anayetuma habari ya matukio. Mjengwa yupo based in Iringa town na si ajabu hakuwepo Dar ila ni juu ya wahusika kutuma yaliojili kwenye tamasha lao.
So I think blaming Mjengwa (or Michuzi for that matter) is useless and a waste of time! I know Mjengwa personally and have always known him to be fair and honest when it comes to news reporting, never even shying from his sometimes very opinionated columns released in the press.
Yupo humu sasa hivi online na thread yake ya kumpamba Lowasa, Maggid huwa achangii thread za wengine maana yeye humu akija huwa anakuja kikazi zaidi kumpamba yule mtu aliemkusudia siku hiyo.
Bandiko lako linajitosheleza, labda cha kuongeza tu ni kwamba mtaji wake ni kalamu.Hapo kwenye rangi, una maanisha aliyemlipa sio? kwa hiyo habari zake na matukio anayoripoti ni kwa kuwa anatumika! ananunulika kifupi unataka kumaanisha kuwa sura na kalamu yake vinaonesha bei yake!!!
Ameapload sasa hivi nafikiri msg imemfikia. Muungwana uonekana kwa vitendo
Tamasha La Anti Virus Ndani Ya Viwanja Vya Ustawi Wa Jamii
Posted by Mjengwa | Monday, November 28, 2011