Elections 2010 Maghembe: Waliopata Wastani wa 0% Kujiunga Sekondari

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Jamani. Hata kama ni kujipendekeza, this is too much.

Kwamba Maghembe anatangaza kuwa watoto wa Tanzania wakihitimu elimu ya msingi sasa watakuwa wanakwenda moja kwa moja sekondari.

Hivi inaingia akilini kwamba mtoto aliyepata wastani wa 0% naye aendelee na masomo ya sekondari? hii ni kuboresha elimu au kitu gani Watanzania.

Kwa nini hawa jamaa hawataki kuamini kuwa Watanzania wa leo si wa mwaka 47?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…