Maghorofa 64 hatarini kuanguka Kariakoo

Kwa hiyo wengi hapo ni kama wanaishi kwenye majeneza yao!
 
Chanzo ni rushwa na ufisadi. Mkaguzi alipoona sheria haikufuatwa alichukuwa hatua gani? Au alichukuwa hatua ila fisadi kazuia kwa kutoa kitu.
Mkaguzi yupi? wa wakati wa Ujenzi au huyu aliyezungumziwa kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…