Maghorofa 64 hatarini kuanguka Kariakoo

"Hili nalo mkalitazame"
 
Dar sio sehemu salama ya kuwa Juu ya gorofa.

Huku Mikoani hakuna ujenzi wa kisenge kama huko
 
Msimsingizie mzee wa watu.
Uchawa ulikuwepo tangu enzi za mzee wa Pwani mambo ya kusifia ili upate ulaji.
Na kipindi Cha marehemu hakukuwa na kusifia hovyo hovyo.
We jamaa unatuona kama watoto wadogo sio?
 
Hizo zote zitakuja kushuka tu
Tena ingependeza zikashuka kwa wakati mmoja ili tutieeee akili vizuri

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…