Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
10,828
Reaction score
15,001
N.B: USIFANYE KWA MAGAZIJUTO;

1- Chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2- Chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3- Zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4- Jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5- Zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6- Jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata..

Comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa..
 
ushasema we ndo unitajie tarehe na mwezi wangu wa kuzaliwa, hapo hapo unanitaka nichukue tarehe na mwezi wa kuzaliwa sijui nizidishe,HAPO SI TAYARI TAREHE NA MWEZI WANGU WA KUZALIWA NITAKUWA NAUJUA SASA TABU YOTE YA NINI WAKATI TAYARI NAZIJUA TAR NA MWEZ WNG WA KUZALIWA???mimi nilijua kwa mtu asiyejua tarehe yake ya kuzaliwa ndo anatajiwa,kumbe lazima awe anaijua tar ya kuzaliwa ndo aanze kuzidisha,sasa tabu yote ya nini?
 
N.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO
1-chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2-chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3-zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4-jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5-zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6-jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata
comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa

Nimepata 433
 
Back
Top Bottom