Tukiambiwa kuwa watanzania hatujui kufanya matangazo ya biashara huwa tunabisha!! Wengine wakiona tu magic akili zao zimeshaelekezwa kwenye mazingaombwe na uchawi. Au inatumika siku ya "Haloween"?
Kwa wasioelewa hiyo ni magic remote kwa ajili ya Smart TV za LG. Ukiwa na hiyo remote unaweza kutumia kama pointer na pia ni Mic kwa ajili ya kuipa TV amri za sauti na TV ikatii.