Magical Kenya kutumia hotuba za Magufuli katika kujitangaza inamaanisha nini?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Ninavyojua mimi ni kwamba, Magical Kenya ni kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii Kenya, ninashindwa kuelewa uhusiano uliopo kati ya vivutio vya utalii Kenya na Magufuli, ninaomba kueleweshwa katika hili.
 
1574437207757.png

I think you are talking about another youtube channel.hii ndio channel halisi ya magical kenya.
 
Jamaa amelewa chakari na mvinyo kutoka Chato. Nani ana muda na hotuba za Jiwe isipokuwa wanakwaya wa sisiemu. Kutumia hotuba za Magufuli si ni sawa na kujiletea nuksi?

Hiyo internet unayotumia iko na spidi gani?
 
Usirudie tena kuvutia bange chooni. Ila inapendeza sana kuona kwamba Magical Kenya ina mashabik hadi huko kwenu mashinani Kolomije.
Sijaona chombo chochote cha Tanzania kikiweka au kuchapisha hotuba ya kiuongozi yeyote wa Kenya, hii mitandao ya Kenya kupenda kuweka hotuba za Magufuli inamaanisha nini?, tena wanatumia" headings" za kumsifu sana, kama" Power full speech"
 
Ndo ujue EAC TZ sawa na kichwa KE sana na kiwiliwili na UG MKIA
 
Sijaona chombo chochote cha Tanzania kikiweka au kuchapisha hotuba ya kiuongozi yeyote wa Kenya, hii mitandao ya Kenya kupenda kuweka hotuba za Magufuli inamaanisha nini?, tena wanatumia" headings" za kumsifu sana, kama" Power full speech"
Una uhakika gani km hyo channel ni ya mkenya
 
Hahahaha, kuna mwizi alikua anakwapua pesa toka katika mfuko wa suruali wa jamaa mmoja, yule jamaa akaushika ule mkono, akamuuliza kwanini unaniibia?, yule mwizi akajibu sio Mimi, wakati bado yule jamaa ameshikilia mkono wa yule mwizi, akamuuliza huu mkono ni wanani?, mwizi akajibu, " sijui ni wanani". Hahahaha, hahahaha.
 
... akamwambia kama hujui ni wanani, ngoja tuukate basi 🙂
Hahahaha, kuna mwizi alikua anakwapua pesa toka katika mfuko wa suruali wa jamaa mmoja, yule jamaa akaushika ule mkono, akamuuliza kwanini unaniibia?, yule mwizi akajibu sio Mimi, wakati bado yule jamaa ameshikilia mkono wa yule mwizi, akamuuliza huu mkono ni wanani?, mwizi akajibu, " sijui ni wanani". Hahahaha, hahahaha.
 
Sijaona chombo chochote cha Tanzania kikiweka au kuchapisha hotuba ya kiuongozi yeyote wa Kenya, hii mitandao ya Kenya kupenda kuweka hotuba za Magufuli inamaanisha nini?, tena wanatumia" headings" za kumsifu sana, kama" Power full speech"

Bro JPM is another roaring LION of its own kind. You will never hear or see uhuru is quoted anywhere outside kenya.
 
Hahahaha, kuna mwizi alikua anakwapua pesa toka katika mfuko wa suruali wa jamaa mmoja, yule jamaa akaushika ule mkono, akamuuliza kwanini unaniibia?, yule mwizi akajibu sio Mimi, wakati bado yule jamaa ameshikilia mkono wa yule mwizi, akamuuliza huu mkono ni wanani?, mwizi akajibu, " sijui ni wanani". Hahahaha, hahahaha.
Endelea kuruka ruka[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi wako umeangukia pua, sijui utaambia nn watu
 
Hahahaha, hakuna" media" ya Tanzania, au hata nchi jirani itakayochapisha hotuba ya Uhuru Kenyatta, hahahaha.
 
Back
Top Bottom