joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
View attachment 1269303
I think you are talking about another youtube channel.hii ndio channel halisi ya magical kenya.
Jamaa amelewa chakari na mvinyo kutoka Chato. Nani ana muda na hotuba za Jiwe isipokuwa wanakwaya wa sisiemu? Kutumia hotuba za Magufuli si ni sawa na kujiletea nuksi?View attachment 1269303
I think you are talking about another youtube channel.hii ndio channel halisi ya magical kenya.
Jamaa amelewa chakari na mvinyo kutoka Chato. Nani ana muda na hotuba za Jiwe isipokuwa wanakwaya wa sisiemu. Kutumia hotuba za Magufuli si ni sawa na kujiletea nuksi?
Maswali gani haya? Sina uhakika lakini, nipo maeneo ya Katangara Mrere, Rombo natumia Voda.Hiyo internet unayotumia iko na spidi gani?
Maswali gani haya? Sina uhakika lakini, nipo maeneo ya Katangara Mrere, Rombo natumia Voda.
Sijaona chombo chochote cha Tanzania kikiweka au kuchapisha hotuba ya kiuongozi yeyote wa Kenya, hii mitandao ya Kenya kupenda kuweka hotuba za Magufuli inamaanisha nini?, tena wanatumia" headings" za kumsifu sana, kama" Power full speech"Usirudie tena kuvutia bange chooni. Ila inapendeza sana kuona kwamba Magical Kenya ina mashabik hadi huko kwenu mashinani Kolomije.
Ndo ujue EAC TZ sawa na kichwa KE sana na kiwiliwili na UG MKIASijaona chombo chochote cha Tanzania kikiweka au kuchapisha hotuba ya kiuongozi yeyote wa Kenya, hii mitandao ya Kenya kupenda kuweka hotuba za Magufuli inamaanisha nini?, tena wanatumia" headings" za kumsifu sana, kama" Power full speech"
Una uhakika gani km hyo channel ni ya mkenyaSijaona chombo chochote cha Tanzania kikiweka au kuchapisha hotuba ya kiuongozi yeyote wa Kenya, hii mitandao ya Kenya kupenda kuweka hotuba za Magufuli inamaanisha nini?, tena wanatumia" headings" za kumsifu sana, kama" Power full speech"
Hahahaha, kuna mwizi alikua anakwapua pesa toka katika mfuko wa suruali wa jamaa mmoja, yule jamaa akaushika ule mkono, akamuuliza kwanini unaniibia?, yule mwizi akajibu sio Mimi, wakati bado yule jamaa ameshikilia mkono wa yule mwizi, akamuuliza huu mkono ni wanani?, mwizi akajibu, " sijui ni wanani". Hahahaha, hahahaha.Una uhakika gani km hyo channel ni ya mkenya
Hahahaha, kuna mwizi alikua anakwapua pesa toka katika mfuko wa suruali wa jamaa mmoja, yule jamaa akaushika ule mkono, akamuuliza kwanini unaniibia?, yule mwizi akajibu sio Mimi, wakati bado yule jamaa ameshikilia mkono wa yule mwizi, akamuuliza huu mkono ni wanani?, mwizi akajibu, " sijui ni wanani". Hahahaha, hahahaha.
Mambo yanapozidi kuwa magumu, mtu anaweza kuukana mkono wake mwenyewe, kama ambavyo wakenya wameanza kukana vyombo vyao vya habari.... akamwambia kama hujui ni wanani, ngoja tuukate basi 🙂
Sijaona chombo chochote cha Tanzania kikiweka au kuchapisha hotuba ya kiuongozi yeyote wa Kenya, hii mitandao ya Kenya kupenda kuweka hotuba za Magufuli inamaanisha nini?, tena wanatumia" headings" za kumsifu sana, kama" Power full speech"
Endelea kuruka ruka[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, kuna mwizi alikua anakwapua pesa toka katika mfuko wa suruali wa jamaa mmoja, yule jamaa akaushika ule mkono, akamuuliza kwanini unaniibia?, yule mwizi akajibu sio Mimi, wakati bado yule jamaa ameshikilia mkono wa yule mwizi, akamuuliza huu mkono ni wanani?, mwizi akajibu, " sijui ni wanani". Hahahaha, hahahaha.
Hahahaha, hakuna" media" ya Tanzania, au hata nchi jirani itakayochapisha hotuba ya Uhuru Kenyatta, hahahaha.Endelea kuruka ruka[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi wako umeangukia pua, sijui utaambia nn watu
Hahahaha, [emoji1787][emoji1787]
Uzi umeangukia pua...ukurupukaji mbayaHahahaha, hakuna" media" ya Tanzania, au hata nchi jirani itakayochapisha hotuba ya Uhuru Kenyatta, hahahaha.