vipi, wakati wa game na mchuchu springi haipigi kelele ?niliwahi kuweka order duka moja la muhindi lakini sikufanikiwa kulipata na bei waliniambia mil 1.2 [emoji134][emoji134]. Magodoro mazuri sana haya ukishusha spring zinarudi chini halafu zinampush mtuhumiwa juu kwa kasi akifika break kengele
Kwanini hizi spring mattress yanauzwa ghali sana?! Tofauti yake kubwa ni ipi?!Jipatie magodoro Original ya Spring kutoka kiwanda cha QFL magodoro Dodoma, kwa wateja wetu wa Dar es salaam tunakuletea hadi kwako buree kabisa na malipo yote yanafanyika nyumbani kwako ukishapokea mzigo wako.
Wateja wa mikoani tunasafirisha kwa nusu gharama na kwa uaminifu mkubwa.
Inategemea na kiwanda, sifahamu hizi za dom nitajaribu kuzichunguza madukanivipi, wakati wa game na mchuchu springi haipigi kelele ?