Magoli ya Barca

0021

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
160
Reaction score
60
Navuta picha hili goli la 2 na 4 waliyofunga Barca dhidi ya R.Madrid yangefungwa kwenye mechi kati ya Yanga na Azam halafu ndo yanga wamefungwa hivyo...daaaaaa refa Martin Sanya angeshatoka damu kwa ngumi za Stevn Mwasika....Hii ndo tofauti ya Soka la Bongo na Ulaya....sometimes tisishangae tunaharibu kwenye soka la Kimataifa hatujui sheria za maamuzi na hata waamuzi wakitenda haki wachezaji wanawapiga marefa...Kwanini warefa wa Kibongo hawachezeshi hata friend match za kimataifa?Sababu wanafanya makosa mengi yanayowanyima credit kimataifa..Natafakari tu jamani
 

Pia mashabiki wa Madrid walimpongeza Iniesta wakati anatoka, na hii ilikuwa ni kwasababu tu alicheza vzr na kumiliki mpira sehem ya kiungo with pass accuracy of 96%. It was fantastic
 

Na hapa ndipo tunaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…