Magoli ya kujifunga ya Manara na Mo: Wakati Manara akiongoza kwa faida ya Goli la ugenini, what is next?

Sasahivi ngapi ngapi? Maana manara nae kaanza kusifia viwanda vya unga vya mabwana zake huku akiponda vya bosi wake wa zamani
 
Sasahivi ngapi ngapi? Maana manara nae kaanza kusifia viwanda vya unga vya mabwana zake huku akiponda vya bosi wake wa zamani

Mo hakuwa Bosi wa Manara. Mnachoamini nyinyi ni kuwa Mo kawa Bosi wa Simba. Kwa katiba ipi au utaratibu upi?.

Hawa hawasifii bali anatangaza Biashara zao kwa makubaliano ya mkataba walioingia. Tatizo unamsema Hajji kwa kumkamia, hutaki kuvaa viatu vyake
 
Aache upuuzi aende anapoona panamfaa,
 
Hii mechi Ina mabao mengi Sana
TAHADHARI:Wazee wa livebet usiweke under
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…