OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mechi iliyopita uliibiwa simu?Mechi dhidi ya Tabora uliibiwa nini na gongowazi wenzako?πππππππ
Jana nilikaa vip pale nilizimia na niliekewa dripu 5 hospital ya ChamaziMechi iliyopita uliibiwa simu?Mechi dhidi ya Tabora uliibiwa nini na gongowazi wenzako?
Anakula kweli huyu?Mpumelelo akiendelea pale alipoishia
View attachment 3147005
Wapewe adhabu kali..kwani hawaioni kuwa ni offside?Aloo naangalia marudio hapa eeh bana kumbe wahuni walimrushia machupa line 2 kwenye lile goli la offside la Mpumelelo
View attachment 3146992
Defence ovyo
View: https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13
Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu.
Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii