Magoma awaasa uongozi wa Yanga kumtafuta haraka kuokoa "slow pancha"

pesakilakitu

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
1,618
Reaction score
2,861
Mzee Magoma akihojiwa leo amenukuliwa akisema Yanga slow pancha ilianza muda mrefu.

Mzee Magoma ambaye amesisitiza kua yeye ndio DAKTARI anayejua namna yakuitibu Yanga..

Kasema na kuwaasa uongozi unaongozwa na Mhandisi Hersi kua wamtafute wayamalize, la sivyo Yanga kule ligi ya mabingwa afrika itabeba timu tatu juu, yaani watamaliza wa mwisho, na wakiendeleza kibri, watamaliza wa mwisho ligi kuu...alisisitiza kwa uchungu Daktari Magoma.

Vincenzo Jr

Interlacustrine R

Labani og

ngara23
 
Mzee Magoma ambaye amesisitiza kua yeye ndio DAKTARI anayejua namna yakuitibu yanga.. kasema na kuwaasa uongozi unaongozwa na Mhandisi Hersi kua wamtafute wayamalize, la sivyo yanga kule ligi ya mabingwa afrika itabeba timu tatu juu, yaani watamaliza wa mwisho, na wakiendeleza kibri, watamaliza wa mwisho ligi kuu...alisisitiza kwa uchungu Daktari Magoma.

Vincenzo Jr

Interlacustrine R

Labani og

ngara23

Mzee Magoma akihojiwa leo amenukuliwa akisema Yanga slow pancha ilianza muda mrefu.

Mzee Magoma ambaye amesisitiza kua yeye ndio DAKTARI anayejua namna yakuitibu Yanga..

Kasema na kuwaasa uongozi unaongozwa na Mhandisi Hersi kua wamtafute wayamalize, la sivyo Yanga kule ligi ya mabingwa afrika itabeba timu tatu juu, yaani watamaliza wa mwisho, na wakiendeleza kibri, watamaliza wa mwisho ligi kuu...alisisitiza kwa uchungu Daktari Magoma.

Vincenzo Jr

Interlacustrine R

Labani og

ngara23
Yanga hii unaifungajee 😀 😀 😀
 
Wakati wenzao wanapaa mbinguni kucheza na malaika yeye anataka awabakize duniani waendelee kuhangaika, ashindwe kabisa kwa jina la hersi.
 
Back
Top Bottom