Baba Dayana
Senior Member
- Jul 1, 2016
- 144
- 330
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo ilishindwa kutoa maamuzi ya mapitio ya hukumu iliyompa ushindi Mzee Juma Ally Magoma na wenzake na kulazimika kuiahirisha hadi siku nyingine huku pia ikielezwa kuwa Mawakili wa Mzee huyo wameshindwa kufika Mahakamani kutokana na kuwa na majukumu mengine.
Itakumbukwa kuwa Mahakama ya Kisutu ilimpa ushindi Mzee wa Magoma na Mlalamikaji namba mbili Geofrey Mwaipopo huku Mlalamikaji wa tatu akiwa Jabir Katundu ushindi ambao ulimtaka Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi aondoke madarakani kwani uwepo wao haukufuata katiba ya Club hiyo.
Soma Pia: Juma magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga na asimamie assets zote za timu