A Anonymous Guest Jun 7, 2024 #1 Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani. Pia soma - DOKEZO - Magomeni, Kanisani: Dampo linahatarisha afya za watu, viongozi chukueni hatua - Taka zimejazana sana eneo la Boko Magengeni, magari ya kubeba taka hakuna kwani?
Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani. Pia soma - DOKEZO - Magomeni, Kanisani: Dampo linahatarisha afya za watu, viongozi chukueni hatua - Taka zimejazana sana eneo la Boko Magengeni, magari ya kubeba taka hakuna kwani?