uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
safi sana.kunywa serengeti mbili apo kwa mangi ,nakuja kulipa hahaYangeandikwa na mababu zangu ningeyaamini. Haya ya kuja kwenye boti na merikebu? Nani aliandika na nani shuhuda wa maandiko hayo. je Yesu alikuwa mjinga kutengeneza muujiza wake wa kwanza kule kanaani yaani wa mvinyo? Uyahudi ndo kunalimwa zabibu nzuri tu na mvinyo ni kinywaji bora kwa Mediterranean countries zote. Watu tunapata communio kwa mvinyo halafu unasema hayo. Sema ulevi ndo mbaya ila kunywa tutakunywa tu.
cc: Mrangi, mshana jr.
sijasoma huu uzi nimeamua tu kukoment maana utaniumiza sanaPombe imekuwa kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo.
Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa muda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia.
Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa Pombe.
1) Ugonjwa wa ini
Pombe ukisha inywa sehemu yake kuu inapokua inavunjwa vunjwa ni katika ini, hivo huweza kukuweka katika hatari ya kuharibikiwa na ini
2)Ugonjwa wa akili (alcohol related psychosis)
Kama nilivyotangulia kueleza hapo juu kuwa Pombe ni aina ya sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu hivo baada ya mnywaji kunywa huwa anapata hallucinations na matokeo yake badae huharibikiwa na akili.
3)Ugonjwa wa Pancreas (pancreatitis)
4)Canser
Pombe pia ni carcinogens yaani ina vitu ambavyo hupelekea mtu kuugua kansa. Mfano wa kansa kama ya koo, mdomo, ini, uchango mkubwa na puru.
5)Vidonda vya tumbo
6)Kushuka kwa kinga ya mwili
Kinga ya mwili inaposhuka mtu huwa rahis kushambuliwa na vijidudu visababishao magonjwa mfano, ugonjwa wa TB, kisukari, hata HIV.
7)Utapiamlo
8) Ugonjwa wa kudhoofu mifupa (osteoporosis)
9)Magonjwa ya moyo (cardiovascular diseases)
10) Ajali ambazo husabisha mauti au ulemavu wa kudumu.
Najua yote haya unayafahamu, lengo ni kukumbushana tu so stay calm and leave the liquid.
makubwa kivile japo afya nakiri imebadilikaAngalia mambo ya msingi uliyoyafanya kwa hiyo miaka nane uliyopumzika ndipo utajua pombe ni hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena akome kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pombe imekuwa kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo.
Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo kwa njia ngumu kupitia kufuta kwa muda mrefu na uondoaji wa mara kwa mara wa kumbukumbu, na kusababisha ugonjwa mkubwa na vifo pia.
Yafuatayo ni magonjwa 10 yanayosababishwa na unywaji wa Pombe.
1) Ugonjwa wa ini
Pombe ukisha inywa sehemu yake kuu inapokua inavunjwa vunjwa ni katika ini, hivo huweza kukuweka katika hatari ya kuharibikiwa na ini
2)Ugonjwa wa akili (alcohol related psychosis)
Kama nilivyotangulia kueleza hapo juu kuwa Pombe ni aina ya sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu hivo baada ya mnywaji kunywa huwa anapata hallucinations na matokeo yake badae huharibikiwa na akili.
3)Ugonjwa wa Pancreas (pancreatitis)
4)Canser
Pombe pia ni carcinogens yaani ina vitu ambavyo hupelekea mtu kuugua kansa. Mfano wa kansa kama ya koo, mdomo, ini, uchango mkubwa na puru.
5)Vidonda vya tumbo
6)Kushuka kwa kinga ya mwili
Kinga ya mwili inaposhuka mtu huwa rahis kushambuliwa na vijidudu visababishao magonjwa mfano, ugonjwa wa TB, kisukari, hata HIV.
7)Utapiamlo
8) Ugonjwa wa kudhoofu mifupa (osteoporosis)
9)Magonjwa ya moyo (cardiovascular diseases)
10) Ajali ambazo husabisha mauti au ulemavu wa kudumu.
Najua yote haya unayafahamu, lengo ni kukumbushana tu so stay calm and leave the liquid.
Nzuri sana My Daddy, Ur missedTena akome kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Za miaka binti yangu mwema?View attachment 1050885