GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hii ni mara ya tatu ( 3 ) leo napanda Gari zile ' Eicher ' za Gongo la Mboto kwenda Ubungo SIMU 2000 halafu nakumbana na Abiria anayejamba ' Ushuzi ' mbaya utadhani ' dampo ' lote la Pugu lipo ' tumboni ' mwake hali ambayo kiukweli huwa inanitesa mno na kuniathiri pia Kiafya.
Naomba msaada wa kujua aina ya Sabuni ambayo naweza kutumia kuondoa harufu Kali ya ' Mjambo ' niliomaliza nao ' Wikiendi ' ya leo katika hilo Basi la Gongo la Mboto kwenda Ubungo SIMU 2000 kwani pamoja na kwamba nimeoga na Sabuni nzuri tu lakini hadi hivi sasa bado 'Kaharufu ' ka ' Mjambo ' nakasikia halafu ndiyo kanazidi tu sasa ' Kutukuka ' kwa Kunuka vibaya.
Nadhani kama ingekuwa Mtu ' akijamba ' tu basi anasababisha 'Ugonjwa ' hatari kwa aliye karibu nae nina uhakika wakazi wengi waishio kati ya Gongo la Mboto na Ubungo SIMU 2000 leo wote wangekuwa ' Marehemu ' kwani kama kuna ' ruti ' ya Daladala za Dar es Salaam ambazo ' Abiria ' wake wanaongoza kwa ' Kujamba ' hadi kuhatarisha ' Afya ' za walio jirani nao basi ni wa Gongo la Mboto ambao wameshaichukua nafasi iliyoachwa wazi na waliokuwa Abiria wa Ferry Mbagala Mwisho waliokuwa nayo na muda mrefu sana.
Hebu kidogo basi mtusamehe kwani tayari huwa tunapata adha / taabu ya ' Kubanana ' ndani ya Basi hadi tunapumua kwa shida huku Misura / Minyago yetu mingi tukiwa tumeielekezea madirishani halafu na nyie tena mnatupa ' adhabu ' nyingine ya ' Kutujambia ' hovyo. Basi bora hata ' Ujambe ' ushuzi wenye harufu ' rafiki ' tutakuvumilia lakini unajamba ' ushuzi ' ambao harufu yake haipishani mbali sana na ile ya Dampo la Taifa la Pugu! Huku si kutesana kama siyo kutaka Kuuana tu?
' Kitu ' kilichoachiwa leo siyo cha nchi hii hakyanani!
Shikamooni Abiria wote wa Gongo la Mboto na Ubungo SIMU 2000.
Nawasilisha.