Jamani naomba anayejua dalili za tibii aina zote naomba anisaidie kuwa ni zipi, nina zaidi ya mwaka mmoja mwili hauna nguvu na kichwa kinauma kwa ndani mpaka juu ya kichwa lakini usiku nakohoa sana kikohozi kikavu nikitoa makohozi ni kidogo sana meupe
Sent using
Jamii Forums mobile app