Magonjwa ya akili na tiba mbadala!

Magonjwa ya akili na tiba mbadala!

mgesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
997
Reaction score
942
Habari!
Kumekua na uwepo wa vituo vitoavyo tiba mbadala nchini, ningependa fahamu kama hawa watu wanatibu magonjwa ya akili au wana limit ya magonjwa wanayoweza kuyatibu?
Asante.
 
Habari!
Kumekua na uwepo wa vituo vitoavyo tiba mbadala nchini, ningependa fahamu kama hawa watu wanatibu magonjwa ya akili au wana limit ya magonjwa wanayoweza kuyatibu?
Asante.
Wanatibu ndio magonjwa ya akili je wewe uanye mgonjwa wa akili?
 
Back
Top Bottom