Habari!
Kumekua na uwepo wa vituo vitoavyo tiba mbadala nchini, ningependa fahamu kama hawa watu wanatibu magonjwa ya akili au wana limit ya magonjwa wanayoweza kuyatibu?
Asante.