Magonjwa ya kuku

Magonjwa ya kuku

Nimenunua vifaranga mia baada ya wiki mbili vimebaki ishirini na vinaendelea kupukutika ni aina ya kroila
 
pole ndugu hatujaachana sana sababu mimi nilinunua 42 sasa hivi wamebakia 17 ila sasa hivi wanaendelea vizuri
 
Kesho napeleka vetenary kuwapima
Typhoid hiyo boss imewahi nikuta kwa kuku wakubwa kidogo ya hao wako ,bila kwa ushauri chukua kifaranga moja nenfa kampime vetenary ujue ila hapo typhoid haikosi.
 
Back
Top Bottom