P Paulsen Francis New Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2 Reaction score 1 Jun 25, 2012 #1 Naomba mnisaidie jamani, nina ugonjwa wa ngozi mwaka na nusu, kila nikienda hospital wananipa dawa ambazo nikimaliza kutumia baada ya mda kidogo ugonjwa unarudi tena na tena, sijui nifanye nini!
Naomba mnisaidie jamani, nina ugonjwa wa ngozi mwaka na nusu, kila nikienda hospital wananipa dawa ambazo nikimaliza kutumia baada ya mda kidogo ugonjwa unarudi tena na tena, sijui nifanye nini!
REX JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 338 Reaction score 55 Jun 25, 2012 #2 Nitafute kwa namba 0715720276,nipo kcmc naweza kukusaidia kadri nitakavyoweza!