iArmaniAdamson
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 944
- 289
Autism: Watoto wa Kisasa na - (afya ya ubongo)
watoto wengi wanaozaliwa sasa wana matatizo ya ubongo, brain spectrum, yaani autism. hata nchi zilizoendelewa zimekumbwa na janga hili kubwa.
soma aina za watoto hapo na chagua mtoto wako ni wa aina gani na soma maelezo zaidi.
aina ya mtoto wa 1:
unaweza pata mtoto akawa na akili sana darasani, ukweli ni kwamba sio akili bali ni kumbukumbu kubwa sana, na mtoto huwa wa kwanza akifeli sana basi ni wa pili. LAKINI akiwa nyumbani hawezi kucheza wengine, au hajui kucheza kabisa. mpaka unashangaa mtoto ana akili na hajui kucheza na wenzie. huyo ana matatizo
aina ya mtoto wa 2:
Mtoto wako anaweza kuwa nunda sana (dyslexis) yaani shule haipandi hata umchape vipi, lakini akirudi nyumbani anaweza kukwambia majina ya first eleven (kumi na moja wa kwanza) wa timu ya Chelsea na pia anakumbuka majina risevu au hakuimbie mwimbo wa bongo flava mwanzo mpaka mwisho bila kusita. huyu ana matatizo
aina ya mtoto wa 3:
mtoto mpole mpole tu, kila wakati anafuatisha kila unachosema, ila jinsi anavyokuwa mkubwa hawezi kufanya mambo yake mwenyewe lazima umchagulie mpaka combi (masomo ya kidato cha tano na sita); - unakuta mtoto hata akifaulu anashindwa achague kazi gani, anakuwa goigoig mpaka umsukume sukume - huyu ana matatizo pia.
aina ya mtoto wa 4:
mtoto atulii, yaani wanaita "antention deficity disorder - ADD" hawa ni wale watoto hawawezi kabisa kutulia, hata ufanye nini, hata ukimtishia kumpeleka polisi wao hawawezi kukaa chini zaidi ya sekunde 30, lazima amesimama. au mara ameshika kitu amerusha, mara ameingiza unga kwenye deki ya video, au ameweka mguu kwenye sahani ya chakula n.k. huyu pia si haba ana matatizo hatulii full stop!
MAELEZO:
hii hali ya autism (kitaalamu), kwa afrika hasa tanzania haijulikani sana na wazazi wengi uishia kuchapa tu watoto mpaka unaweza kusikia mzazi akisema, "huyu mtoto nitamvunja" lakini mtoto wala hajirudi.
hata nchi zilizoendelea, kama US hili ni jangwa kubwa la taifa. na wazazi wamekuwa wakilia na serikali kama ya Obama kutaka kupata suluhu ya tatizo hili. wazazi wa nchi zilizoendelea wanabana serikali zao ili waweke fedha nyingi kando ili wanasayansi wafanye uchunguzi kujua tatizo linasababishwa na nini.
SABABU mbadala:
1 - gene za mwanadamu kwa kiasi kikubwa zimedhoofika. hii ni sababu ya magonjwa mengi yasiyoambukizwa kwa sasa, kwa kipindi kirefu inaaminiwa kwamba mwanadamu amekuwa na jini zinazoendelea kudhoofika na hii usababisha muongezeko wa magonjwa yasiyo ya kuambukizwa na udhoofu wa ubongo
2 - wakina mama kula vyakula vya wanga mwingi, kusema kweli vyakula vinavyoliwa sasa vina ongezeko kubwa la wanga (junk) na hii inasababisha watoto wengi kuwa na matatizo mbalimbali ya ubongo kutokana na sababu mbalimbali za matatizo ya kula wanga nyingi.
3 - aina ya life style, wakina mama wengi kwasasa hawafanyi kazi ngumu kama zamani ambazo zilizokuwa na faida kujenga misuli na kufanya mwili uwe mkakamavu na afya bora. wakina mama wengi wamebweteka na kukaa tu, kwenye tv au kutumia visaidi vya kazi kwa kila kitu - bado tatizo hili likumbukwe linaathiri familia 'tajiri zaidi' hata maeneo ya tanzania, ila athari pia ziko kwa familia maskini.
- nitaendelea kuelezea jinsi tukiendelea kuchangia
Sir. Armani Adamson