Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Na siku kadhaa.. naumwa
Sijiskii vibaya kimwili.. sehemu za siri haziumwi wala kuskia dalili yoyote, yaani kiafya niko safi..
Shida inakuja.. kuna mda vinatoka vi ute kama usaha, havina harufu yoyote.. na inatokea kama mara 2 kwa siku..
Siku moja nmemchukua mke wangu nmeenda nae hosptali kupima weeknd iliyopita.. majibu yametoka yeye mkojo wake ni mchafu wake ila kawaida anatakiwa anywe maji na atapona hakupewa dawa..
Mimi niliambiwa nina mkojo mchafu sana.. sina ugonjwa wowote wa zinaa na nmepewa dozi imeisha leo.. ila hali ni ile ile vinatoka vi utone kwa mbali sana kama usaha inatokea mara 2 au 3 kwa sku sio kila mda vipo..
ila nkinywa maji mengi huoni kitu, sahivi mkojo ni wa rangi ukinywa maji mengi unakua mweupe na vinakata..
Swali je.. mkojo mchafu ndo unasabisha ute yaani kweli au kuna ugonjwa mwingine...