Magonjwa yanayo wasumbua sana mbwa

Big up kwa mleta mada kipindi niko mdogo nilikuwa na mbwa huyo mweusi yeye nilimfundisha vizuri baada ya bibi mmoja kunipa siri ya dawa ya kutwanga na unaikamulia kwenye chakula chake wakati anakula aisee yule mbwa alikuwa abweki ila moto wake balaa nilikuwa namlisha pumba iliyosagwa matonge saba na supu ya dagaa kila jioni saa moja namfanyisha mazoezi alikuwa amejaa kifua hatari. Now nataka niludie tena kuanza kufuga mbwa maana kuku ninao wengi na vibaka wanajalibu kuleta kujuana
 
Namba 7 ni ugonjwa hatari sana kwa mbwa hawa wa kizungu. Bahati mbaya sana hata chanji zilizopo ( DHLP) nyingi ni fake.
 
Kwa kipindi cha miaka2 sasa hapo nyumbani mbwa koko waamekuwa wakifa tu wadogo sasa hawatoboi miezi3
Chakula ni maziwa wakiwa wadogo wakikua ugali na maziwa lakin ndo hivyowanakufa.Wakubwa wanakufa wakiwa na afya zao kabisa.

Mtaalamu nini shida? na tufanye nini kudhibiti?
 
Asante sana kwa darasa hivi gharama za kumhasi mbwa dume zipoje?
Ni bure mkuu tafuta mpira(ule wa manati ama wa kwenye tube ya baiskeli) funga pumbu zake vizuri hii itamchukua muda mrefu kidgo kuoza pumbu na kukauka almost 2months unakuwa umemaliza ukitfuta wataalamu gharama itakuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…