Magonjwa yanayotibika kwa mbegu za maboga

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Utafiti unaonyesha mbegu za Maboga zinauwezo wa kuepusha magojwa zaidi ya 10
Ugonjwa wa moyo
Kiasi kingi cha madini ya magnesium ktk mbegu hizo yanaifanya kuwa muhimu sana kwa watu wenye magonjwa ya moyo
Madini hayo ni muhimu kwaajili ya kuimarisha msukumo wa damu kwenye moyo na kuimarisha afya ya mishipa ya damu hatimaye kutibu na kuzuia ugonjwa wa moyo
Kinga ya mwili
Mbegu hizo zimebarikiwa kua na kiasi kikubwa cha madini ya zinc kazi kubwa ya madini hayo ni kuimarisha Kinga ya mwili
Upungufu wa madini hayo unaweza kusababisha kuishiwa nguvu za kiume,, matatizo ya homoni na chunusi nyingi mwilini
Uwezo wa macho
Zina vitamin E,A, lutein, beta carotene na zeaxanthin vitu hivi ni muhimu kwa Nuru ya macho,
Tezi dume
Wataalam mbalimbali wa lishe wanashauri mbegu hizo ziliwe kwa wingi na wanaume kwa mdogo na mkubwa kwasababu hii ni Kinga tiba,

Huondoa sumu mwilini
Huondoa msongo wa Mawazo
Pia mbegu hizo zina madini ya chuma ambayo huimarisha mishipa ya sehem za siri kwa mwanaume

Ni lishe bora kwa mama anaenyonyesha kutokana na madini ya zinc omega 3 na omega 6

Tule mbegu za Maboga kwa ajili ya kinga tiba
 
Sasa HAPO NDO YANATIBIKA KWA HIZO MBEGU!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…