Magorofa haya ya udongo yametulia kinoma!

Ebwana mitaa ya wapi hii? Niliona kama haya somewehere in Mali.
 
this is what you call an accident waiting to happen
 
Du,
Pape unanikumbusha mbali kweli. Njia panda kuelekea kwa fisadi Mkapa. Hapo kama sijasau wanapaita Magamba cost kilipo chuo kikuu cha Magamba siku hizi!

Wenyewe wanaita "ghoofa"
 
this is what you call an accident waiting to happen

You can call that, but when will it happen?. Unajua watu hujifunza kutokana na makosa nina uhakika kama haya yatakuwa yaliisha wahi kuwaangukia na kuua aua kujeruhi wange ya abandon siku nyingi.
 
Du,
Pape unanikumbusha mbali kweli. Njia panda kuelekea kwa fisadi Mkapa. Hapo kama sijasau wanapaita Magamba cost kilipo chuo kikuu cha Magamba siku hizi!

Wenyewe wanaita "ghoofa"
hahahahaha hiyo mbona imekaa kipare zaidi?

You can call that, but when will it happen?. Unajua watu hujifunza kutokana na makosa nina uhakika kama haya yatakuwa yaliisha wahi kuwaangukia na kuua aua kujeruhi wange ya abandon siku nyingi.
nyumba za udongo hasa maghorofa ni bora kuliko ya cement hahahaha, si unaona haiti walivyo taabika?
 
yale mengine sijui kama ni pure udongo, na kama ni udongo jamaa nimewakubali hila hili chini hapa, no its only a matter of time god forbid amna wazee humo ndani wala watoto.
 
Hao waliojenga ndo mainjinia sasa! hawa waliojenga kariakoo hakuna kitu! Ni 8x8-64
 
hahahahahaha. you've made my day!
kweli mkuu hujaona baskeli za miti kama ile ya komredi kipepe?kongo na rwanda hapo watu wanaserereka nazo spidi 120 hadi gari haioni ndani.
 
Hayo maghorofa yapo manzese kwa mfuga mbwa!!!
 
Kwa mfuga mbwa hakuna milima na majani hivyo. Unakujua au unakusikia tu?
 
Hawa si wapewe tender ya kujenga flyovers dreams za mkulu?
 
Ebwana mitaa ya wapi hii? Niliona kama haya somewehere in Mali.
Not Mali sir, haya maghorofa yapo wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Ni mengi mno vijijini na yapo tangu miaka ya '60 na hayaanguki wala nini, ukianzia Magamba kuelekea Mlalo na Mtae. Thanx for these memories.

this is what you call an accident waiting to happen

Hakuna kitu hicho.
Lifespan ya haya maghorofa ni zaidi ya miaka 25, I have proof from those "Local Engineers from Lushoto. Hata mie nilishangaa sana kama ww, iwapo maghorofa haya yanadumu, ukweli ni kwamba yanadumu sana.

Du,
Pape unanikumbusha mbali kweli. Njia panda kuelekea kwa fisadi Mkapa. Hapo kama sijasau wanapaita Magamba cost kilipo chuo kikuu cha Magamba siku hizi!

Wenyewe wanaita "ghoofa"
Kabisa man. Nimefika haya maeneo hizi ni nyingi sana kuanzia Magamba, Kwesimu, Viti, Manolo, Mkuzi na Mlalo!
Hongea tate!

Tutolee Ufafanuzi hayo Magorofa ya Wapi? nina maaa ya mji gani? TANDALE UWANJA WAFISI? AU KINONDONI? TEMEKE AU ILALA?

Jibu liko hapo juu.
 
Ni ya udongo; kwa walikwisha kupita maeneo ya sony ile njia ya kuelekea Lushoto (inatamkwa 'ushoto)😀
 
mkuu umetoa maelezo swafiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…